Welcome To My Homepage
About me
Karibu katika web site hii inayomilikiwa na kijana ABUBAKARY FAKIHI JUNDU.Abubakary ni kijana anayeishi mjini dar es salaam wilayani kinondoni.kwa sasa abubakary ni askari polisi katika mkoa wa dar es saalam.anafanya kazi katika kituo cha polisi kijitonyama.alimaliza mafunzo ya kijeshi chuo cha polisi moshi mwaka 2010 tarehe 15/01.baada ya hapo alipangiwa kazi mkoani Ruvuma wilayani Songea ambapo alikaa miezi nane na kuhamia pwani ambapo pia alikaa mwaka mmoja na kuhamia mkoa ni dar es saalam ambapo yupo hadi sasa.Abubakary pia anasomea sheria katika chuo cha Azania College Of Management.
Vipatikanavyo
Katika web hii utapata vitu vingi kama vile games,music,na mengine mengi

MAONI
kama utahitaji kutoa maoni tafadhali ingia kwenye guest book
Contact
jisikie huru kama utahitaji kuwasiliana na mimi kuhusu mabo yahusuyo web hii.kama una ushauri wa jinsi ya kuifanya web hii kuwa nzuri na yakuvutia tafadhali tupe ushauri wako kupitia address utakazo ziona hapo chini.tafadhali tuma maoni yanayojenga web tu
Behind the Scenes of My Home Page
Kuna mabo ambayo sijayaandika katika home page.katika web hii pia unaweza kupata ushauri juu ya mambo mengi kama vile ushauri wa kisheria na huduma ya uwakili.lakini pia unaweza kupata ushauri na msaada wa jambo lolote linalokusumbua.you just try us
